Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Wakati mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza yakiendelea bila ya kukatizwa, Wapalestina wanazidi kutatizika na njaa kutokana na mzingiro unaowekwa katika eneo hilo.
7 Novemba 2024 - 20:36
Msimbo wa Habari: 1502364